Kaka Mac book ya wap ya 500k labda haina screen, huku jf kilasiku watu wanatoa elimu hata kujifunza kweli
Wana ofisi, kwa dar zipo pale city mall na kkoo...jumia wana ofisi au ndio ofisi mtandaoni?
Inashangaza sana Mtu anavyolaumu platform, ni sawa na utapeliwe kwa n_ia ya simu uanze kulaumu mtandao husika.Pole sana karibu mjini
Mimi nimenunua vitu kibao kupatana
Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
Wew jamaa huna akili kabsa nasema tena huna akili na unapenda slope tena siku nyingne unaweza kuf*rwa kabsa, yani macbook air kwa laki2 na ishirini unaakili kweli bidhaa yenyew dukani hadi mil3 huko tena used kabsa ni 900k na inategemea wew kwa 220k hata hp kubwa hupat hivo wacha wakutapeli tu tena usilalamike humu
Nani alikwambia Jumia wana biadhaa???
jumia ni kiunganishi tu cha mteja na muuzaji. Ila tofauti na kupata wao wanapokea bidhaa na wanaiwasilisha kwa mteja. Kisha wanapokea malipo na kugawana pesa na muuzaji
duh pole sn mkuu na asante kwa taarifa.....Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k
Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
macbook air 300k?.....Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
Sio kweli usemacho, kupatana hawana bidhaa pia.Nani alikwambia Jumia wana biadhaa???
jumia ni kiunganishi tu cha mteja na muuzaji. Ila tofauti na kupata wao wanapokea bidhaa na wanaiwasilisha kwa mteja. Kisha wanapokea malipo na kugawana pesa na muuzaji
Washamba tu ndo mnaotapeliwa... nilishaendesha maisha yangu kupitia kupatana, huwezi niambia kitu nikakuelewa...Hii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k
Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa
uyo Jamaa a awapiga wengi sana mpaka Leo tu,sijui hamfuatiliagi wengine waliotapeliwa malalamiko yao,?tangu .wala juzi uyoHii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
Dah... we jamaa ni fala... nisamehe bure kwa kukuita fala.... nimeshauza na kununua simu na laptop zaidi ya mia in total ila sijawahi fanya uzuzu kama ulioufanya ww huu...Hii imenitokea jana asubh mpaka leo na jamaa amezima na simu kabisaaaah iko hv niliona macbook air alikuwa anauza kwa 300k nikamtumia 220k alivyo chukua pesa akasema atatuma mzigo hadi sku imeisha hajatuma na ameniblack list kabisaaa sijui kwa wwngine mliokamilisha biashara ilikuwaje
Naona mnatangaza soko kijanja huku mkiua la wenzenuNzuri sana bidhaaa mpya bei sawa na bure na mali ya uhakika kwa dar mzigo wa thamani ya laki mbili unaletewa hadi home
wako poa sana Jumia nawapenda natumia sana jumia na kupatana
MKuu hapana sifanyi matangazo mimi nimemueleza kuwa natumia Kupatana na Jumia PiaNaona mnatangaza soko kijanja huku mkiua la wenzenu
Jumia pia ni madalali kama alibaba au aliexpress tu, hawana bidhaa.Ni kama kupatana ila jumia bidhaa ni za kwao wao na wanakupa muda wa kukaa na bidhaa usiporidhika nayo unarudisha.
.
Kupatana ni kama uber hawana gari hata moja.
Jumia pia ni madalali kama alibaba au aliexpress tu, hawana bidhaa.
Tofauti ya Jumia na kupatana ni kua Kupatana utawasiliana na Mteja moja kwa moja bila kuwashirikisha Wao, pengine wao wanakula kwenye bando yako huko mbeleni.
Jumia wao muuzaji na mnunuzi mnawasiliana thru platform yao, wao hula commission kutoka kwa muuzaji. Hivyo basi ni rahis kutapeliwa kupatana zaid kuliko jumia.
Utapeli ulioko Jumia ni "Quality". Lakini bidhaa inakua iko kweli. Yaani picha ikiwekwa utaona bidhaa ni nzuri sana, ila ukikutana nayo face to face ni tofauti. Nishaagiza Suruali zikaja very low quality na Muuzaji akagoma kubadili.
Ila kupatana unakuta bidhaa haiko kabisa. Mtu anauza TV bei rahisi tu ila anakuambia utume advance atume mzigo, ukijichanfanya tu umeliwa. Ukimwambia akuelekeze liliko duka uende ukachukue mwenyewe unakula "block"
Kuibiwa na kutapeliwa kupatana ni ujinga na uzembe wakoHii n moja ya website inayotumika sana hapa Tz lakin ndio website yenye matapeli wengi kuliko website yyte ile kuwa makini na wezi hao wa mitandaoni kitu cha 1M watakuuzia hata 300k ilimradi tuh uingie kinge mm binafsi nimetapeliwa 220k
Kuwa makini sana na kununua vitu mtandaoni alifu unamrushia mtu pesa