Ramo JF-Expert Member Joined Aug 30, 2018 Posts 1,818 Reaction score 1,824 Dec 2, 2018 #61 Mimi nimenunua Kiwanja KUPATANA tena kwa bei nzuri kabisa.
Uchira 1 JF-Expert Member Joined Oct 9, 2017 Posts 5,994 Reaction score 8,696 Dec 3, 2018 #62 tatizo ninyi vijana huwa mnajipeleka kichwakichwa soma kanuni na taratibu, uliza na wakubwa zako ndo ununue watu kupatana ni sehemu mnakutana kufanya biashara si kutapeliana, kwaiyo tusinunue kwakuwa wewe umetapeliwa?
tatizo ninyi vijana huwa mnajipeleka kichwakichwa soma kanuni na taratibu, uliza na wakubwa zako ndo ununue watu kupatana ni sehemu mnakutana kufanya biashara si kutapeliana, kwaiyo tusinunue kwakuwa wewe umetapeliwa?