Usije Ulaya

Usije Ulaya

Tunaenda yaani unatupangia kisa we umeenda bila mipango ?
Nampango wa kwenda kuanzisha ka bustani cha mboga mboga pale new York ...najua nikipanda tembele na sukuma week zitakubali mno maana ardhi ya new York ni kichanga
 
Mkienda huko hamtaki kabisa wengine tupajue huko ulaya kila mtu afike huko ajionee yeye mwenyewe wacha kukatisha tamaa. Wanaijeria africa magharibi imejaa ulaya, wakenya wapo wa kutosha
Wanapeana konnekshen sisi wa bongo tuna roho mbaya sana ukiona wewe upo ulaya utaki wengine waje
Kaka we acha tu, nina kaka yangu toka mwaka2001 yuko UK na ni doctor ila hataki kabisa kuskia nasisi tunataka tufike huko kuangalia fulsa
 
Kaka we acha tu, nina kaka yangu toka mwaka2001 yuko UK na ni doctor ila hataki kabisa kuskia nasisi tunataka tufike huko kuangalia fulsa
Mkuu ndivyo walivyo sijui anaona atapoteza attention kwa family ndugu na jamaa ndio thinking yao mm aunt yupo sweeden huko hata wadg zake ajawai hata kuwaalika huko sema hii tabia ni za hasa wanyakyusa mkuu
 
Mkuu ndivyo walivyo sijui anaona atapoteza attention kwa family ndugu na jamaa ndio thinking yao mm aunt yupo sweeden huko hata wadg zake ajawai hata kuwaalika huko sema hii tabia ni za hasa wanyakyusa mkuu
Loli gwandile amahelu..Abhanyakyusa tukani ndumbula nyali😂😂😂😂 ujo nsafwa..
 
Ni miezi mingi sana imepita sijaonekana kwenye huu mtandao wetu wa kijamii. Sijaona tena nyuzi nyingi za kusisimua kutoka kwa Mshana Jr habibu Pascal Mayalla ONTARIO... Nimekumbuka Uzi wa jinsi nilivotengeneza million 9 ndani ya mwezi mmoja.

Nimeanzia mbali sana kwani namkumbuka mwana FA na wimbo wake USIJE MJINI Leo hii nawaasa GenZ.. USIJE ULAYA. Kuna usemi usemaon huwezi kumtambua nyoka anapokuwa mjamzito, naamini sio rahisi sana kumtambua mkikutana porini.

Uzuri na utamu wa pesa wanaujua wenye pesa. Tajiri anaelewa kwa nini ni sahihi yeye kutumia milioni 2 mpaka 10 kwa siku moja tena kwa matumizi ya kula na kunywa tu.

Unaposikia fulan sijui Fernandez wa NALA alikataa mshahara wa zaidi ya 30 million kwa mwezi akaamua kurudi nyumbani masikini hawezi kuelewa hata umkate kichwa ...nmewahi kukaa mahali na mama mmoja aliacha kazi EAC ili awe free akaajiriwa sehemu analipwa haifiki hata robo na yuko na amani na furaha tele.

Kwa nini USIJE ULAYA, Asia, America.... Jibu rahisi Utajiri uko AFRICA 🌍 🌍 🌍. Rasilimali za Bure ziko Africa. Fursa za kutupa zipo Africa.


Kila leo walioko nje ya Africa wanaumiza kichwa kuweza kufanikisha kuwekeza Africa. Unaweza kuamua kwenda Ulaya likizo unarudi Africa kutembea. Wazungu wametuweza sana kutupymbaza waafrica tumekuwa watumwa wa fikra kwamba Ulaya Kuna maisha yaani Bora kuwa paka Russia kuliko kuzaliwa Africa 🌍.

Sio kweli narudia sio sahihi wametupumbaza na watazidi kutupumbaza. RIP JIWE/BULLDOZER/MWAMBA/CHUMA 17 March 2021. Nyota ilizima Gafla Giza likatawala. Hiki CHUMA sizani kama spea yake itakaa ipatikane tena !!!

Ukiwa na uwezo wa kupata 15k kwa siku Tanzania ni sawa na mtu anayepata 170k Marekani. Ngoja nikuchanganye kidogo uelewe. Barrack Obama akiwa Raisi alimwalika dinner Raisi wa India na ilitumika karibia 200$k ni kama 500m kwa chakula tu. Emmanuel Macron alipomwalika King Charles ilitumika karibia 560$K hizi ni zaidi ya 2 Billion za kitanzania.

Mama alipowaalika kufuturu ikulu mlitumia kiasi gani??
Tuendelee kwa nini Usiende Ulaya....Mwisho nitaeleza kwa nini kabla hujazeeka hakikisha angalau unatembelea nchi yeyote kati ya German, Spain, Italy, France, Poland, Russia, Norway, India, Japan, Iran, Saudi Arabia, China, Cuba, USA, Canada, Turkey Argentina, Cambodia na Australia.

Changamoto ya nchi nyingi hawajui kingereza, hii ni mada ingine ndefu sana niiruke ila kwa ufupi ukitembelea nchi isiyozungumza kingereza tembelea zaidi mji mkuu wa nchi utapata huduma nzuri.

Nichomekee tabia ya vijana wasomi wanaojiita chawa ni bomu kwa mustakabali wa nchi yetu ni kama kansa itatumaliza taratibu.

Tuendelee, Ni kweli kabisa maisha ya Ulaya au nchi nilizotaja hayafanani na ya Tanzania Kabisa, ni mazuri, uhakika, yanavutia, Usalama lakini nirudi nyuma kwa kuwa Tanzania haifanani na Ulaya hata kidogo kuifananisha ama kuilinganisha kijeshi, technology au vyovyote ni kutenda kosa la kukusudia....

Africa ina maisha ya aina yake ...Kuna siku nilisikia mchungaji mgogo anasimulia Kuna dhambi ni za Africa tu. Mtoto akiwa na njaa Akala chakula kwenye friji bila kupewa anaitwa mwizi/Mdokozi .,, hizo ni dhambi za Africa ambapo mtoto hawezi kutoa kinywaji kwa friji akanywa na kula bila mzazi kumpatia.

Kwa nini Usiende Ulaya!!
ebana mbona ni kama tupo wote hapa kwa mtogole
 
Back
Top Bottom