"Usijenge Familia kukiwa kumekuchwa" Vijana Zaeni na oeni mungali mna nguvu

Nadhani unamanisha 'Usijenge familia kukiwa kumekuchwa na si kumekucha'. Kumekucha ni kinyume cha kumekuchwa. Kumekucha ni asubuhi na inamaanisha kuwahi jamboo. Kumekuchwa ni jioni yaani kuchelewa kwa maana ya sentensi yako.
 
Tatizo vijana wasomi ni waoga kutake risk kama hizo, mtu anataka awe na mtoto akiwa kapata kazi tayari, aoe akiwa na nyumba yake.
Ndio maana unakuta kijana 35 yrs still anasaka job na yuko home.
 
Usiogope kuchelewa kuoa na kuzaa ili mradi unajua unachokifanya! Unaweza kuwahi baada ya vipindi mkachokana au ukawahi kuzaa Kumbe umetuletea 'kaka jambazi.' Kumbuka katika Maandiko Matakatifu Sara alizaa mtoto akiwa na umri wa miaka 70 na ndiye aliyekuwa mfalme! Kila Jambo Ni wakati!!
 
Wewe umeoa ukiwa na miaka mingapi?
 
Dogo kuoa sio kut*mba bali ni uwezo wa kuyakabili majukumu. Usije ikimbia familia baada ya majukumu ya huduma za msingi kukukaba
 
Mi nimeshika "Si kila jambo zuri lazma lipitie mikononi mwako mengine acha yaje yafanywe na watoto wako"!!!!
 
ingekuwa vizuri ungelenga labda kwa waliokuwa kuwa tayari na shughuli ya kueleweka ya kuwaingizia kipato Lakini vinginevyo ukiingia kwenye ndoa kwa pupa hutajua hujui....
 
😍
 
Inategemea unataka kuzaa watoto wangapi
 
ingekuwa vizuri ungelenga labda kwa waliokuwa kuwa tayari na shughuli ya kueleweka ya kuwaingizia kipato Lakini vinginevyo ukiingia kwenye ndoa kwa pupa hutajua hujui....
Shughuli yoyote halali inayoingiza pesa mfukoni inaeleweka.

Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…