Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

Umedanganya bei ya kununua simu kwa mkopo na kwa cash ni vitu viwili tofauti
Nadhani hukunielewa.... Sijasema kuwa kununua simu cash na kununua kw mkopo bei ni sawa...... Soma vizuri unielewe kabla hujanihukumu
 
utaratibu wa kukopa ukoje nijilipue naona mambo yangu hayajakaa poa na ninataka A14 SAMSUNG. mwenye ABC please
 
Kama hiyo gharama ni kubwa mno jaribu kasave Tsh 2000 mpaka ifike laki nne ununue cash.
Ndio maana nawaelewa sana wale wanaocheza ile michezo ya kuchanga kila siku 1000, 2000 au zaidi. Siku ukija chukua Hela Yako unafanyia kitu cha maana.
 
Reactions: Tsh
Ndio maana nawaelewa sana wale wanaocheza ile michezo ya kuchanga kila siku 1000, 2000 au zaidi. Siku ukija chukua Hela Yako unafanyia kitu cha maana.
Kabisa mkuu
 
Kwani taasisi zinazolalamikiwa Kwa riba kandamizi, ni Kwa nini zinalalamikiwa!? Zinaonewa wivu!?
 
Nilichukuwa kwa majaribio ila sasa najuta, ni unyonyaji wa kiwango cha juu!
Hujachukua kwa majaribio. Ulichukua kwa nia kwani hukuwa na pesa. Hakuna unyonyajo, lazima ufanye kwa kulingana na makubaliano yenu. Lipa pesa hakuna ujanja ujanja hapo.
 
Kwani taasisi zinazolalamikiwa Kwa riba kandamizi, ni Kwa nini zinalalamikiwa!? Zinaonewa wivu!?
Ni wajibu wa mteja kukopa katika taasisi isiyo na riba kandamizi kwake. Inashangaza sana kupigia kelele riba ya mkopo ambao uliijua kabla na taasisi zenye riba ndogo zipo.
 
Kama hiyo gharama ni kubwa mno jaribu kasave Tsh 2000 mpaka ifike laki nne ununue cash.
Watu wanadhani ni rahisi kumpa mtu bidhaa then wew uwe unakusanya elf mbili mbili kila siku,
 
Reactions: Tsh
Mikopo ya aina nyingi huwa haiko fair

Sio simu tu
Mikopo huwa ni dozi ya adabu kwa watu wasio na adabu ya pesa. Huwezi kuta mtu mwenye discipline ya pesa anahangaika na mikopo kuendesha maisha yake. Labda iwe dharula kweli kweli.
 
Ukisave hiyo 2000 mwenyewe kwa mwaka yaani siku 365 utakuwa na laki saba mkononi, hapo unaweza pata simu mbili za laki tatu na nusu au unaweza nunua simu moja ya laki sita na kupata pesa ya vocha mwaka mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…