Simu yenyewe sasa iwe ya maana. Kasimu gani hako?Simu unafanyia biashara gani?
Ebhana, hiii sasa imeanza kusaundi kama better idea.Ngoja nikuonyeshe na mm natumia simu ya mkopo kutoka tigo
Ukilipa tu chap baada ya dakika 3 mb zako 562 zinaingiaUnapewa kila siku na ipo kwenye mkataba unaosign
Nakuelewa mkuuMdogo wangu alikopa, nikaona nami nikope, ila niliingia kichwa kichwa, najuta!!! Ni aina fulani ya unyonyaji, nafuu ningeuza chochote ninunue kwa cash. Narudia kwa msisitizo "USIKOPE". Jitahidi ununue kwa cash. Niliingia tu kwa utafiti, matokeo ni hayo. Chonde chonde.