Usijichanganye ukachukua “Simu za mkopo”

Ngoja nikuonyeshe na mm natumia simu ya mkopo kutoka tigo
Ebhana, hiii sasa imeanza kusaundi kama better idea.

Nna swali? Je hizo mb 562 ni kwamba deile utapewa yaani kwenye mkataba ipo hivyo au wanakupa wakijiskia tu!??

Lete majibu tujitose🤔
 
Mdogo wangu alikopa, nikaona nami nikope, ila niliingia kichwa kichwa, najuta!!! Ni aina fulani ya unyonyaji, nafuu ningeuza chochote ninunue kwa cash. Narudia kwa msisitizo "USIKOPE". Jitahidi ununue kwa cash. Niliingia tu kwa utafiti, matokeo ni hayo. Chonde chonde.
 
Nakuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom