Usijidanganye unamjua/soma/elewa mtu humu ndani kwa kuangalia mabandiko yake

stritglow

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
622
Reaction score
1,750
The internet/social media is all about interaction. Na one thing it brought ni a false sense of belief kwa watu kuwa wanamjua/elewa mtu kutokana na vitu anavyoviandika au wanavo-interact nae.

Kwahiyo usije ukajidanganya kuwa mtu fulani humu yuko hivi na hivi in real life kutokana na anavyo-comment/post humu. Tumeona watu wengi humu wakiwa judged in that way, kisa mtu anapost “kistaarabu/busara” basi huyo mtu anachukuliwa kuwa yuko hivyo in real life, mwingine akipost “pumba/jokes” basi wanamchukulia pouwa/kawaida. Mwingine akipost about the extravagant life, then atachukuliwa kama matawi ya juu. n.k Wanasahau kwamba all these assumptions might not even be true.

Remember, you only see what a person choose to show you. These are just personas. Watu humu ndani wanaandika/comment/post kwa mtindo fulani kutokana na sababu mbalimbali, mwingine as stress relieving, mwingine just trolling, wengine beacause of their own personal agendas.

We are all actors here playing a certain role, don't get addled by it.
 
Very true mkuu,umeongea point sana,binafsi nimeelewa.
 
Kweli aisee
Kama mimi wanadhani ni mcongo
 
Goffman -social actors...sisi ni mapretender hata kwenye real life lol hata kwenye ulimwengu wa reality bado sisi ni actors tunatoa what we want others to see/think of us na sio sisi wenyewe kama tulivyo,jinsi tulivyo ni picha nyingine kabisaa …
 
Hai sinki mositi ofuteni komentizi hendii positii ara bezidi honi sensii ofuu yuma hendii tulolingi pipoo honi ze intalanetihi razaa zani selifuu revelesheni.
Kubumbebe webewebe nibi mbtobotobo waba shubulebe yaba mbsibingibi.
Rubudibi dabarabasabanibi ubunabakobosaba vibipibindibi. Ubukibifebelibi ubusibitubulabaubumubu mabaibishaba mabagubumubu.

Kasie Matata Tosimbana.
 
Kubumbebe webewebe nibi mbtobotobo waba shubulebe yaba mbsibingibi.
Rubudibi dabarabasabanibi ubunabakobosaba vibipibindibi. Ubukibifebelibi ubusibitubulabaubumubu mabaibishaba mabagubumubu.

Kasie Matata Tosimbana.
Yuhu ara verii longii hamu he bizinesii manii verihi sunnihi hamu gonaa launchihi mahi kamuupuhuni hiyaha , hamu ani inivestaha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…