Usijidanganye unamjua/soma/elewa mtu humu ndani kwa kuangalia mabandiko yake

Usijidanganye unamjua/soma/elewa mtu humu ndani kwa kuangalia mabandiko yake

The internet/social media is all about interaction. Na one thing it brought ni a false sense of belief kwa watu kuwa wanamjua/elewa mtu kutokana na vitu anavyoviandika au wanavo-interact nae.

Kwahiyo usije ukajidanganya kuwa mtu fulani humu yuko hivi na hivi in real life kutokana na anavyo-comment/post humu. Tumeona watu wengi humu wakiwa judged in that way, kisa mtu anapost “kistaarabu/busara” basi huyo mtu anachukuliwa kuwa yuko hivyo in real life, mwingine akipost “pumba/jokes” basi wanamchukulia pouwa/kawaida. Mwingixavne akipost about the extravagant life, then atachukuliwa kama matawi ya juu. n.k Wanasahau kwamba all these assumptions might not even be true.

Remember, you only see what a person choose to show you. These are just personas. Watu humu ndani wanaandika/comment/post kwa mtindo fulani kutokana na sababu mbalimbali, mwingine as stress relieving, mwingine just trolling, wengine beacause of their own personal agendas.

We are all actors here playing a certain role, don't get addled by it.
exaCtly mkuu
 
Kuna siku ulizungumzia issue ya Mtoto wa Mobutu nikajua wewe ni Mkongo
Mkuu.
Wala mimi sio mcongo ila hua ninafatilia sana mambo yaliyotokea wakati wa Mobutu
Na kumfahamu yeye na Familia yake
Yule mzee ni inspiration kwangu.
By the way nina mpango siku moja ninunue nyumba kinshasa
 
Mkuu.
Wala mimi sio mcongo ila hua ninafatilia sana mambo yaliyotokea wakati wa Mobutu
Na kumfahamu yeye na Familia yake
Yule mzee ni inspiration kwangu.
By the way nina mpango siku moja ninunue nyumba kinshasa

Safi sana mkuu, baada ya kuwa tuko wote kwenye kazi yetu ya ulinzi nilianza kubadili huo mtazamo.
 
Mbanabatabafubutaba babanibi

Hahahahahahaaa Cleroo, some clues are missing.

Habataba sibijubuibi wabanabatabaka nibinibi naba wabanaba mbutabafubutaba nabanibi.

Mabambobo vibipibi labakibinibi?
 
Hahahahahahaaa Cleroo, some clues are missing.

Habataba sibijubuibi wabanabatabaka nibinibi naba wabanaba mbutabafubutaba nabanibi.

Mabambobo vibipibi labakibinibi?

Hahaha, niko vizuri.

Mungu ni mwema.
 
Wengne wanaigiza ili waishi wakati wengine wanaigiza maisha!
 
Wapo smart kweli. Kuna mmoja alihitaji nimfanyie kazi fulani, siku kaja kunichukua na ford matata, home sasa nyumba kali ya ghorofa mbili, mkewe anasukuma bmw x5.he nikajisemea jamii forum s kuna balaa kumbe, nikashaangaa kwenye uzi mmoja anaomba kazi, yoyote achagui... Pumbavvvu [emoji41][emoji41][emoji41]
 
You are going nut old woman , does it matter to you if I am a school's boy or not , why are you so desperate to judge , I see no piont of you throwing shade on me unless you thought I was hitting on your old miserable ass , you must going through emotional rollercoaster grandma , just carefully examine between your legs grandma! you must be on your cycle , douchebag!

Uuuhhhh should s'body 👏 for that...!!??

A word of advice, go back to your classes young man, you are not yet grown up to rap.

Those words marked in red, I feel pity on you.... worry not won't throw more words to you as you beg.

Go ahead, and sleep let your elders lead the way. Next time learn how to be smart otherwise kamasi zitakutoka hehehehehee heheee.

Kasie Matata.
 
Back
Top Bottom