Usijidanganye unamjua/soma/elewa mtu humu ndani kwa kuangalia mabandiko yake

exaCtly mkuu
 
Kuna siku ulizungumzia issue ya Mtoto wa Mobutu nikajua wewe ni Mkongo
Mkuu.
Wala mimi sio mcongo ila hua ninafatilia sana mambo yaliyotokea wakati wa Mobutu
Na kumfahamu yeye na Familia yake
Yule mzee ni inspiration kwangu.
By the way nina mpango siku moja ninunue nyumba kinshasa
 
Mkuu.
Wala mimi sio mcongo ila hua ninafatilia sana mambo yaliyotokea wakati wa Mobutu
Na kumfahamu yeye na Familia yake
Yule mzee ni inspiration kwangu.
By the way nina mpango siku moja ninunue nyumba kinshasa

Safi sana mkuu, baada ya kuwa tuko wote kwenye kazi yetu ya ulinzi nilianza kubadili huo mtazamo.
 
Mbanabatabafubutaba babanibi

Hahahahahahaaa Cleroo, some clues are missing.

Habataba sibijubuibi wabanabatabaka nibinibi naba wabanaba mbutabafubutaba nabanibi.

Mabambobo vibipibi labakibinibi?
 
Hahahahahahaaa Cleroo, some clues are missing.

Habataba sibijubuibi wabanabatabaka nibinibi naba wabanaba mbutabafubutaba nabanibi.

Mabambobo vibipibi labakibinibi?

Hahaha, niko vizuri.

Mungu ni mwema.
 
Wengne wanaigiza ili waishi wakati wengine wanaigiza maisha!
 
Wapo smart kweli. Kuna mmoja alihitaji nimfanyie kazi fulani, siku kaja kunichukua na ford matata, home sasa nyumba kali ya ghorofa mbili, mkewe anasukuma bmw x5.he nikajisemea jamii forum s kuna balaa kumbe, nikashaangaa kwenye uzi mmoja anaomba kazi, yoyote achagui... Pumbavvvu [emoji41][emoji41][emoji41]
 

Uuuhhhh should s'body 👏 for that...!!??

A word of advice, go back to your classes young man, you are not yet grown up to rap.

Those words marked in red, I feel pity on you.... worry not won't throw more words to you as you beg.

Go ahead, and sleep let your elders lead the way. Next time learn how to be smart otherwise kamasi zitakutoka hehehehehee heheee.

Kasie Matata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…