Usijidanganye unamjua/soma/elewa mtu humu ndani kwa kuangalia mabandiko yake

Mpaka sasa nashangaa kisa cha ajuza kama wewe kuanza kunitukana kwenye comments kiasi hicho mwanzo nilidhania unatania , nikachukulia poa tu maana humu jamii f kuna watu wa aina nyingi nashangaa matusi yanaongezeka tu nikagundua kumbe uko serious sasa nakuuliza wewe ulianza kunitukana matusi , nilikukosea nini ? sijakuomba pesa , sijakutongoza wala kukutukana , swala la wewe kupendana na mumeo linakuja vipi kwenye comment nilikuambia nataka nikutongoze mpaka unaleta mambo ya sijui mimi na yeye tunapendana na matusi. Mengi namna hiyo , kwa mtu mzima kama wewe kunitukana kijana kama mimi bila sababu ninakushusha thamani kabisa , sijawai kugombana na ajuza bibi kizee na nina heshima zangu kwa kila mtu na rika , wewe kunishushia majungu na dhihaka inaonesha wazi uzee unakuendea vibaya au nyege zinagonga chupi , vibibi wengine hamstaili kuwepo humu mnatafuta sababu ya kuloga vijana au kutukosesha ufalme wa mbinguni , wewe bibi boya sana heshima zako utakua umeziweka kwenye makalio kichwani hakuna kitu , kubwa jinga wewe.
 

Hehehehehheee wanakucheka wenzio......

Labda nikukumbushe...... JF is a puzzle, if you know how to solve it you'll be smiling ever like Kasie.
Haya ndio maandishi niliyoyaandika mwanzo mwa mjadala huu. Kisa kilianzaje na kikafikaje jiulize mwenyewe.

Angalia memba wengine walio ni quote pia majibizano yaliendaje na yakaishaje.

Namalizia tena kwa kusema, JF NA MAMBO YAKE NI FUMBO, UKIFANIKIWA KUYAFUMBUA UTATABASAMU KILA SIKU MUDA WOTE KAMA KASIE.

KASINDE.
 
Haka kabibi kanachotumia I'd ya kasie ni mcharuko kweli kweli kwanza kana asili ya ukicheche then akachelewi kupanik cjui kanatafuta nn humu mitandaoni na uzee wake, looh?
 
Wewe kibibi ni boya huwezi kutukana mtu bila sababu na kuleta kauli zako za puzzle , puzzle kacheze na mumeo me hunijui sikujui huwezi kunitukana alafu ulete kauli za puzzle nikae kabisa nitumie akili zangu kukufikilia wewe kafie mbele , mabibi wenzio wanalea watoto wewe unakesha jf kutukana vijana uliowazidi miaka mbona heshima huna , nashangaa li bibi linakazana kunifuatilia hilo puzzle kacheze na mzee mmeo na wewe mgundue jinsi gani atakupa mimba baada ya kufikia menopause , maana ungekua na wajukuu usinge kesha kutukana vijana jf , bibi umeruka hatua ya maisha jiangalie sana ajuza kubwa jinga.
 
Haka kabibi kanachotumia I'd ya kasie ni mcharuko kweli kweli kwanza kana asili ya ukicheche then akachelewi kupanik cjui kanatafuta nn humu mitandaoni na uzee wake, looh?
Hawa ndio ma bibi yanataka kuloga vijana au kutupia vijana laana , mshinzi sana huyu bibi .
 
Hawa ndio ma bibi yanataka kuloga vijana au kutupia vijana laana , mshinzi sana huyu bibi .
Ukute kinanuka ugoro halafu kinajifanya matawi ya juu kumbe njaa tu, kinaacha kukaa na wenzake kusuka ukili huko kutwa kucha jf, na usikute hadi badoo kapo kanajiuza huko, looh!
 
Ukute kinanuka ugoro halafu kinajifanya matawi ya juu kumbe njaa tu, kinaacha kukaa na wenzake kusuka ukili huko kutwa kucha jf, na usikute hadi badoo kapo kanajiuza huko, looh!
Nashangaa mida ya saa tisa hivi usiku au kumi niko online nime comment kawaida tu , nashangaa kana anza wewe nenda kalale sijui school boy utachelewa shule maisha magumu sijui na ushenzi gani , me nikajua labda utani tu kumbe ajuza kisimi kimemsimama anaendela tu kuni mwagia mvua ya matusi , nikaja kugundua kumbe heshima hana alafu anapoulizwa swali la msingi , nini kimekufNya unitukane hana jibu anaanza sijui kuna puzzle bwana wangu kanifanya nini sijui tunapenda nini , namuuliza kwani me nilikua nataka kukutongoza mpaka unaniletea mambo ya bwana yako , anazingua sana huyu bibi ameruka hatua ya maisha huyu bibi , hata kama me school boy yeye nini kinamuwasha nilimuita class tujisomee au nilishawai kumtia kidole , swala la elimu yangu yeye linamuhusu nini , ameniona wapi mpaka akajua mimi mwanafunzi ndio hilo puzzle lake analocheza na bwana wake usiku , watu hupitia kila hatua ya maisha kuanzia kutambaa mpaka kutembea mpaka uzee , nashangaa hiki kibibi mtu kuwa school boy anaona jambo la ajabu mpaka ashushe matusi humu , kama baba yake hakumpeleka shule asitake kushobokea watu , hiki kibibi wanakibetua sio bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…