Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"

Bantu Lady

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
8,900
Reaction score
28,398
Mara nyingi uhusiano wa kimapenzi kwa watu wengi unafikia kikomo, kutokana na kutoelezana ukweli.

Haya mambo ya kuficha kama umeridhika katika kugegedana, ndio watu hutafuta majenereta ya kuwatosheleza.

Usione aibu shughuli haikuwa kiwango mwambie ili ajue alikosea wapi, asirudie tena.

Hii iwe kwa mwanaume ama mwanamke, kaeni mjadili mwenzako anapenda nini na huwa hapendi nini.

Kuna vitu utajipinda kufanya kumbe mwenzako anaona karaha tu, ila mngekuwa mmeyaongea ukajua hapendi usingemfanyia.

Ungefanya yale anayopenda na mkaridhishana, mapenzi ni sanaa so kila mara ni kuendelea kujifunza.
 
Utapata hata huo muda wa kumueleza msichana wako Dar kama haujaridhika?Wasichana Dar wapo too bize bana
 
Dada Heaven on Earth ninayosema mm yamenikuta kwa wasichana 3 tofauti!
Tena wote simu zao tu zikiita hao wamevaa tukamba twao wanaaga pasipo hata ku discuss game ilikuaje ahahahahaah!Basi mm nika conclude kuwa likely wengi wao wapo hivyo
 
Last edited by a moderator:
Ni sahihi ila kuwa mwangalifu ni namna gani nzuri ya kumwambia sio unakurupuka na kusababisha mwenzio kukata tamaa kwa sababu pengine hapo alipofikia kwa upande wake alijitutumua sana, sasa we ukimwambia hajaridhika atakuona unamdharau.
 
Utapata hata huo muda wa kumueleza msichana wako Dar kama haujaridhika?Wasichana Dar wapo too bize bana

Ndio maana mapenzi hayadumu kama mnakuwa na muda wa sex tu, ubusy upo ila haichukui masaa wala siku nzima.
Inahitajika kuwa na muda wa kuongea kuhusu mauhusiano yenu.
 
Tatizo wasichana wengi ni waoga kuongea ukweli mbele ya bf wao...Ndiyo maana baadhi yetu huwa tunatumia uwezo wetu binafsi kuelewa matatizo yao.! Wengi wao huishia kwenda kupiga soga kwa mashoga zao kuhusu karaha wanazopata kutoka kwa bf wao
 
Naomba ntambue eneo ulipo dada'ngu nkuletee huyu mwanamke'ngu koz kila nkimweleza haya huwa ananambia "unataka nikajifunze nje ya nyumba?"labda wewe utansaidia kumwambia axee Maana mi hanielewi na nampenda sana..
 
Dada Heaven on Earth ninayosema mm yamenikuta kwa wasichana 3 tofauti!
Tena wote simu zao tu zikiita hao wamevaa tukamba twao wanaaga pasipo hata ku discuss game ilikuaje ahahahahaah!Basi mm nika conclude kuwa likely wengi wao wapo hivyo

Nina wasiwasi labda walikuwa watoto wa shule
 
...Tangu wanawake walipojua kufikishwa...aaaaah!!!
 
Dada Heaven on Earth ninayosema mm yamenikuta kwa wasichana 3 tofauti!
Tena wote simu zao tu zikiita hao wamevaa tukamba twao wanaaga pasipo hata ku discuss game ilikuaje ahahahahaah!Basi mm nika conclude kuwa likely wengi wao wapo hivyo

haha hao noumer au wanapiga mechi za michangani nini............
 
haha hao noumer au wanapiga mechi za michangani nini............

Ahahahaha eti mechi za mchangani ahahahaah!You make me laugh ahahaha uwiiiii mweee yereruuuuuuu

Sidhani kama ilikuwa mechi za mchangani,ila ni friendly lkn watu walilipa kiingilio bana
 
aUmeongea ya ukweli jamani kuna viumbe wazito hii dunia rafiki yangualiachwa na boy wake juu ya hili swala,bi dada alikuwa anapenda baada ya mechi wapongezane na kujadili mechi wapiumecheza rafu au umeatack like messijamaa alimjia juu hu ni kupotezeana mda

Ila ukweli ina raha ukimpata anayejua umuhimu wa kujadiliwapi umemkosha na kumkuna panapo na wapi umemboa ili ujifunze hakunaaliyezaliwa akijua na pia sio rahisi kujua mwenzio apenda nini na kitendo chakumpongeza kitasidia kumpa ujasiri wa kufanya vizuri zaid na kamwe huwezi kukuachacos anapata kile roho yapenda ila angalizo mwambie mtu anayejitambua vinginevyounaweza kuharibu kabisa mapenz yenu kwa kuonekana wewe Malaya au kumfanya alewesifa na aanze kuwa muhuni

Naomba ntambue eneo ulipo dada'ngu nkuletee huyu mwanamke'ngu koz kila nkimweleza haya huwa ananambia "unataka nikajifunze nje ya nyumba?"labda wewe utansaidia kumwambia axee Maana mi hanielewi na nampenda sana..

Pole sana, tatizo lake ni hakufurahishi ama?
Mapenzi navyojua ni kufundishana nyinyi wawili kwa kusoma na siku hizi kuna google chochote utakachotaka kujua utkipata hapo.
Endelea kumweleza taratibu na kwa lugha ya kimapenzi, pia wewe mwenyewe ukionyesha mfano.
 
...Tangu wanawake walipojua kufikishwa...aaaaah!!!

Hapana Eli79 si wanawake kufikishwa tu, hapa nimeongelea kwa wote wanawake na wanaume.
Amini usiamini kuna wanaume wanalalamika kuhusu wanawake wao kutopata kile anachotarajia.
 
Ni sahihi ila kuwa mwangalifu ni namna gani nzuri ya kumwambia sio unakurupuka na kusababisha mwenzio kukata tamaa kwa sababu pengine hapo alipofikia kwa upande wake alijitutumua sana, sasa we ukimwambia hajaridhika atakuona unamdharau.

Yeah unachosema ni sahihi, huwezi mwambia mwenzako hujaniridhisha km ugomvi. No unatakiwa kumweleza kimapenzi zaidi mpaka hata yeye anaweza funguka pia. Na ikawa ndio utaratibu wenu, ni vizuri kuongea baada ya sex.
 
Naomba ntambue eneo ulipo dada'ngu nkuletee huyu mwanamke'ngu koz kila nkimweleza haya huwa ananambia "unataka nikajifunze nje ya nyumba?"labda wewe utansaidia kumwambia axee Maana mi hanielewi na nampenda sana..

Tenda hii barafu wangu Bantu lady,,naona tuanzishe darasa sasa nyumbani!Ila kila mwanafunzi aje na mwenzie!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…