Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
- Thread starter
- #21
Tatizo wasichana wengi ni waoga kuongea ukweli mbele ya bf wao...Ndiyo maana baadhi yetu huwa tunatumia uwezo wetu binafsi kuelewa matatizo yao.! Wengi wao huishia kwenda kupiga soga kwa mashoga zao kuhusu karaha wanazopata kutoka kwa bf wao
Enhee hapo ndipo hupata ushauri kwanini usiwe na mwingine atakayekutosheleza?
Na watu wengi huamini ushauri wa marafiki anaingia huko.
Ila kama mngeongea angefunguka sana na hali ingekuwa tofauti.