Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"

Dah aisee sijui nitajisikiaje ukiambia hujafika kunako na mie nimepga uno la kufa mtu km Fally Ipupa

Unachukulia kama changamoto tu. Kwanza jinsi ya kukwambia inaweza kuwa si kufika tu hata anaweza sema hakupenda ulivyomtayarisha n.k. Anakwambia kimapenzi wala hutojisikia vibaya nawewe km kuna unachokosa kwake unamwambia mnaelewana. Huyu anataka hiki hapendi kile
 
unalala ama?

goodnight too! sleep well in the power of JESUS CHRIST!

Amen, thanks. Sina usingizi ila nataka nijilazimishe tu kulala, ili niwahi kuamka asubuhi.
 
ok sis.. najua mishe mishe huanza asubuhi... usingizi umeenda wapi lakini?

Utaamini sijalala, sikwenda job, ili nisichoke na kuona uvivu kwenda kanisani. Si unajua jana ilikuwa jumatano ya majivu.
Ningechoka usingizi faster
 
Utaamini sijalala, sikwenda job, ili nisichoke na kuona uvivu kwenda kanisani. Si unajua jana ilikuwa jumatano ya majivu.
Ningechoka usingizi faster

ooh! hivi kwanza mpaka saa hii unafanya nn sis?

we ngoja... jamaa akistuka tu.. qudadeki!
 
ooh! hivi kwanza mpaka saa hii unafanya nn sis?

we ngoja... jamaa akistuka tu.. qudadeki!

Leo majanga bro acha tu. Ingekuwa siyo kwaresma mbona ningegida wine ili nilale.
Ila aaaah, huyu kalala hashtuki hapa japo kanihug anajua nimelala.
 
Leo majanga bro acha tu. Ingekuwa siyo kwaresma mbona ningegida wine ili nilale.
Ila aaaah, huyu kalala hashtuki hapa japo kanihug anajua nimelala.

hahaaa! zima taa ulale bana! akijua unachat na mtu qudadeki tutaona uzi wako ukiomba ushauri!

lala sis... si unajua mko wengi eenh?
 
hahaaa! zima taa ulale bana! akijua unachat na mtu qudadeki tutaona uzi wako ukiomba ushauri!

lala sis... si unajua mko wengi eenh?

Kumbe unanipenda sisy wako eeeh. Asante naziba macho nitalala humohumo.
Now naondoka humu kabisa.
 
me huwa naona raha sana mpenzi wangu akiniambia mapungufu yangu ili nijirekebishe,,maana madem wa siku hizi anaweza akakaa kimya kumbe haujamfikisha,,kinachofuata hapo ni mchepuko
 
Unamwacha kama alivyo. Maana km unafanya yote bado aaah kweli unamwangalia tu.

Bantu lady, hivi unajua kuna wadada wamehaha kubadilisha wanaume kama nguo za ndani ili wafikishwe ila hawakupata wanachotaka? Trust me, kuna wanawake hawafiki kileleni hata wafanyiwe nini.
 
Last edited by a moderator:

Issue ni skills... unaweza kupiga laini laini ila kwa technique! Tatizo wanaume wengine wamezoea kutwanga maana akipanda utasikia mpaka kitanda kinalalamika... kuna wanawake wengine hawapendi kutwangwa hivyo mpaka k inataka kutoka cheche kwa friction!
 
me huwa naona raha sana mpenzi wangu akiniambia mapungufu yangu ili nijirekebishe,,maana madem wa siku hizi anaweza akakaa kimya kumbe haujamfikisha,,kinachofuata hapo ni mchepuko

Aisee wewe ni mwanaume mwema sana na hongera, huyo wii amepata mtu hasa.
 
Kabisa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…