Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 8,900
- 28,398
- Thread starter
- #81
Mi ukiniambia sijakuridhisha nakuchukuliwa Malay.a ushazoea kupigwa game nyingi maana kuna K nyingine ishakua na sugu hata usugue vipi m/mke bado hatosheki na hapo ushamuandaa.
Mbona wengine unapiga game unajua kabisa huyu ashajipiga mbili saa hizi kwa Kick za kufa mtu unazompa.
Hahahaaa Stata mzuka kwenye mapenzi kuna mengi, kuna mambo ambayo mnafanyiana kabla au hata wakati wa mechi, hayo ni ya kuyazingatia pia.
Kuhusu kufika kilele cha mlima kilimanjaro inategemea na si wote hufika, hilo linaanzia nilichokwambia kwn maandalizi ya kuupanda mlima.
Hiyo lugha ya kusema utamuona m. a. l. a.y.a ndio inawaogopesha wengi kusema. Hata km umejipinda hasa na hajafika ni haki yake kukwambia, labda maandalizi hayakuwa mazuri.