Usijifiche kama hujaridhika mweleze mpenzi wako "awajibike"

Mi ukiniambia sijakuridhisha nakuchukuliwa Malay.a ushazoea kupigwa game nyingi maana kuna K nyingine ishakua na sugu hata usugue vipi m/mke bado hatosheki na hapo ushamuandaa.

Mbona wengine unapiga game unajua kabisa huyu ashajipiga mbili saa hizi kwa Kick za kufa mtu unazompa.

Hahahaaa Stata mzuka kwenye mapenzi kuna mengi, kuna mambo ambayo mnafanyiana kabla au hata wakati wa mechi, hayo ni ya kuyazingatia pia.
Kuhusu kufika kilele cha mlima kilimanjaro inategemea na si wote hufika, hilo linaanzia nilichokwambia kwn maandalizi ya kuupanda mlima.

Hiyo lugha ya kusema utamuona m. a. l. a.y.a ndio inawaogopesha wengi kusema. Hata km umejipinda hasa na hajafika ni haki yake kukwambia, labda maandalizi hayakuwa mazuri.
 
Mara nyingi uhusiano wa kimapenzi kwa watu wengi unafikia kikomo, kutokana na kutoelezana ukweli.

Haya mambo ya kuficha kama umeridhika katika kugegedana, ndio watu hutafuta majenereta ya kuwatosheleza.

Usione aibu shughuli haikuwa kiwango mwambie ili ajue alikosea wapi, asirudie tena.

Hii iwe kwa mwanaume ama mwanamke, kaeni mjadili mwenzako anapenda nini na huwa hapendi nini.

Kuna vitu utajipinda kufanya kumbe mwenzako anaona karaha tu, ila mngekuwa mmeyaongea ukajua hapendi usingemfanyia.

Ungefanya yale anayopenda na mkaridhishana, mapenzi ni sanaa so kila mara ni kuendelea kujifunza.
We umekalia kugegedwa tu. as if umekuja duniani kwa kazi hiyo tu.
 
Nimepotea njia nikajikuta kwenye jukwaa la wakubwa nilikuwa naenda zangu tuition ya kiswahili
 
Hahahaaa Stata mzuka kwenye mapenzi kuna mengi, kuna mambo ambayo mnafanyiana kabla au hata wakati wa mechi, hayo ni ya kuyazingatia pia.
Kuhusu kufika kilele cha mlima kilimanjaro inategemea na si wote hufika, hilo linaanzia nilichokwambia kwn maandalizi ya kuupanda mlima.

Hiyo lugha ya kusema utamuona m. a. l. a.y.a ndio inawaogopesha wengi kusema. Hata km umejipinda hasa na hajafika ni haki yake kukwambia, labda maandalizi hayakuwa mazuri.
Wengine hawafiki, hawafiki hata wafanyiwe nini...ni hawafiki tu... sasa nipoteze nguvu nyingi while workdone ni sifuri tu.
 
Unamwacha kama alivyo. Maana km unafanya yote bado aaah kweli unamwangalia tu.
 
Asante bro. Ila nina kesi nawewe hukunikaribisha kwenye party. Mimi si ndio wifi ningempokea Miss neddy. Sawa bhana.

acha hasira sister... anagalau kwanza ungeniuliza hali yangu jamani!

iam dying sick here aisee!

sorry for everything sis...
 
Oooh pole bro, basi yameisha nineshakusamehe.
Leo nilikuwa na my wii mbona hajaniambia kama unaumwa, itabidi umtambulishe basi.
Get well soon my lovely bro.
 
ahsante sis.... iam somehow fine...! are you sure kwamba ulikuwa nae?

how is she?
 
Hahahaaa Stata mzuka kwenye mapenzi kuna mengi, kuna mambo ambayo mnafanyiana kabla au hata wakati wa mechi, hayo ni ya kuyazingatia pia.
Kuhusu kufika kilele cha mlima kilimanjaro inategemea na si wote hufika, hilo linaanzia nilichokwambia kwn maandalizi ya kuupanda mlima.

Hiyo lugha ya kusema utamuona m. a. l. a.y.a ndio inawaogopesha wengi kusema. Hata km umejipinda hasa na hajafika ni haki yake kukwambia, labda maandalizi hayakuwa mazuri.

Dah aisee sijui nitajisikiaje ukiambia hujafika kunako na mie nimepga uno la kufa mtu km Fally Ipupa
 
Back
Top Bottom