Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,678
- 5,166
Watu wengi wamekuwa wakidandia hovyo shughuli za watu bila kutambua kuwa wanafanya makosa,Mchezaji mpira anajiingiza kwenye Ulingo wa siasa, Mfanyakazi anajiingiza kwenye Mambo ya Kisiasa, Dini anapokuwa kazini.
Haya mambo yanahitaji kuwa separated na specialised, ikiwa umeamua kufanya siasa have to be based on your competency, ila ukiforce unaweza kuwa kuni ya kuwashia moto.
God bless you
Haya mambo yanahitaji kuwa separated na specialised, ikiwa umeamua kufanya siasa have to be based on your competency, ila ukiforce unaweza kuwa kuni ya kuwashia moto.
God bless you