Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaishi katika dunia ambayo imemezwa na mfumo jike. Mwanaume ameaminishwa kwamba kushusha standards zake na kukubaliana na disrespects and past chafu ya mwanamke huo ndio uanaume. Wakati huo mwanamke ameaminishwa woman supremacy ndio 50/50.Mkuu, please usigive up kwa unachokifanya/ushauri unaotoa humu kuhusu wanaume, amini mtu anaweza asikuelewe leo ila kuna siku yakimkuta atasoma huu uzi na atauelewa sana🙏🏽
Nimekubali wakuu mmetema nondo za moto,ila hii comment hapo juu☝️ ni🌡️🔥💥.Nimeenda kusoma inasikitisha sana. Nafikiri kuna haja ya kuwa na taasisi ya kuangazia haya masaibu anayokutana nayo mwanaume.
Mifumo haina time na masilahi ya mwanaume, jamii nayo inaamini mwanaume ni invincible. Mwanaume ukikwama wa kukuokoa ni Mungu wako tu.
Muda pekee ambao dunia inaamini ni kweli tatizo lako lilikuzidi uwezo ni mpaka pale tatizo ilo likikuua.
Lilimkuta jambo"Modest anaanza, kufunguka kwa kusema ukweli nyie wanawake ni wanyama sana, mliokosa huruma na utu. Akaulizwa kwa nini unasema hivyo? Akajibu “Tuachane na hayo dada yangu, tuendelee na mengine.”
Maneno ya Alphonse Modest mchezaji wa zamani wa Mtibwa na Yanga ambaye yuko hoi kitandani akijiuguza.
Sijui kilimkuta nini huyu mwamba.

Toka nianze kusoma nyuzi zake, sijawahi kuona alipokosea kuhusu hawa viumbe.Mkuu, please usigive up kwa unachokifanya/ushauri unaotoa humu kuhusu wanaume, amini mtu anaweza asikuelewe leo ila kuna siku yakimkuta atasoma huu uzi na atauelewa sana🙏🏽