Usijitoe, usiwekeze, jipe kipaumbele mwenyewe

Usijitoe, usiwekeze, jipe kipaumbele mwenyewe

Mkuu, please usigive up kwa unachokifanya/ushauri unaotoa humu kuhusu wanaume, amini mtu anaweza asikuelewe leo ila kuna siku yakimkuta atasoma huu uzi na atauelewa sana🙏🏽
Tunaishi katika dunia ambayo imemezwa na mfumo jike. Mwanaume ameaminishwa kwamba kushusha standards zake na kukubaliana na disrespects and past chafu ya mwanamke huo ndio uanaume. Wakati huo mwanamke ameaminishwa woman supremacy ndio 50/50.

Sasa hapa mwanaume ukisimama kwenye misingi ya uanaume wako na kukataa kumezwa na huu mfumo jike tegemea kupigwa vita mpaka na wanaume wenzako kwa sababu misimamo yako itapingana na mitazamo yao walioijenga akili na maamuzi yao waliyoyafanya kwa kupumbazwa na huu mfumo jike.

Katika hii safari yetu ya kumsanua kijana wa kiume ili aijue thamani yake kwenye jamii na kujinasua na huu mfumo jike ambao unasimikwa duniani kote lazima tukubaliane na ukweli kwamba kuna wanaume wenzetu tutawaacha njiani

Jambo zuri ni pamoja na kwamba wanatupinga sasa hivi lakini hata watoto na wajukuu wao watakuja kunufaika na hii awereness tunayoisambaza sasa hivi.
 
Nimeenda kusoma inasikitisha sana. Nafikiri kuna haja ya kuwa na taasisi ya kuangazia haya masaibu anayokutana nayo mwanaume.

Mifumo haina time na masilahi ya mwanaume, jamii nayo inaamini mwanaume ni invincible. Mwanaume ukikwama wa kukuokoa ni Mungu wako tu.

Muda pekee ambao dunia inaamini ni kweli tatizo lako lilikuzidi uwezo ni mpaka pale tatizo ilo likikuua.
Nimekubali wakuu mmetema nondo za moto,ila hii comment hapo juu☝️ ni🌡️🔥💥.

( "WEE SI NI KIDUME UNASHINDWAJE")
Niveile sijui hawaelewi/wamekariri au wanatumia hii kauli hili kumpamba mtu ajae kwenye mfumo kisha wafanye yao

Na ni kweli wanaume hatupendi kulialia wala kuonekana dhaifu kizembe hasa kwajambo ambalo hatahujui ugumu wake ulivyo.(HAIISHI HADI IISHE KABISA)
 
"Modest anaanza, kufunguka kwa kusema ukweli nyie wanawake ni wanyama sana, mliokosa huruma na utu. Akaulizwa kwa nini unasema hivyo? Akajibu “Tuachane na hayo dada yangu, tuendelee na mengine.”

Maneno ya Alphonse Modest mchezaji wa zamani wa Mtibwa na Yanga ambaye yuko hoi kitandani akijiuguza.

Sijui kilimkuta nini huyu mwamba.
Lilimkuta jambo
 
Mkuu mafundisho yako ni mazuri sana endelea usichoke, Tupo na wewe mpaka ukamilifu wa dahari.
 
Mkuu, please usigive up kwa unachokifanya/ushauri unaotoa humu kuhusu wanaume, amini mtu anaweza asikuelewe leo ila kuna siku yakimkuta atasoma huu uzi na atauelewa sana🙏🏽
Toka nianze kusoma nyuzi zake, sijawahi kuona alipokosea kuhusu hawa viumbe.
 
Back
Top Bottom