Usijivune: Kassim Majaliwa, Prof Mark Mwandosya na marehemu Prof Idris Mtulia, Wakiwa ndani ya Mtumbwi

Usijivune: Kassim Majaliwa, Prof Mark Mwandosya na marehemu Prof Idris Mtulia, Wakiwa ndani ya Mtumbwi

Siku zote mipango ya Mungu ni mikubwa kuliko ya binadamu. Hakuna aliyejua kuwa mwezi Juni mwaka 2021 Tanzania ingekuwa na rais mwanamama tena kutoka Unguja.

Hayati JPM wakati anatangaza baraza la mawaziri alimwambia Majaliwa asitegemee kwamba atakuwa waziri mkuu mpaka 2025 lakini ni yeye aliyetangulia mbele za haki akimuacha Majaliwa akiwa bado ni waziri mkuu.

Kuna wanasiasa wakubwa tu ambao waliikejeli afya ya Edward Lowassa, wao wameshatangulia mbele za haki na mzee wa monduli bado anadunda mtaani.

Mwachieni Mungu aitwe Mungu.
 
Back
Top Bottom