LOVINTAH GYM
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 459
- 653
USIKATE TAMAA VS MLANGO MMOJA UKIFUNGWA MWENGINE HUFUNGUKA.
Sio kila kitu uking'ang'anie jifunze kujua mda sahihi wa kuondoka na kuachilia kitu ambacho sio sahihi kwako.
Point ni hivi, kama kitu kinakufanya unakosa amani, kinakufanya unadhohofika afya yako, kinakufanya uwe mbali na Mungu, kinakufanya ujipoteze wewe basi ni kheri ukiache kiende kuliko kuendelea kuking'ang'ania.
My point is riziki mafungu 7.
Mfano :
Mnabishana jambo na rafiki, mzazi , boss, mwalimu, mpenzi.
Vitu vikianza kuwa intense ni vyema ku give up hata kama unajua upo sahihi ili kulinda yale mahusiano yenu.
Haimaanishi kwamba umekubal kushidwa au wewe ni mjinga ila inamaanisha unathamini mahusiano yenu kuzidi huo ugomvi.
Simaanishi uwe mtu wa kujaribu na kuacha ukiona mambo hayaendi poa, ila ukiona kuendelea na hilo jambo kutakufanya uwe kichaa ni kheri uachane nacho na kujipa mda wakujaribu jambo lengine.
Pia usijisikie vibaya ule mlango ambao ulifungwa kwako , mwezio akaja akaufungua kirahisi. Ila amini kuwa wewe ulikua ni daraja kwake umsaidie yeye kuufungua kiurahisi ila haukuwa wako.
Hii inatokea sana kwenye biashara na mahusiano.
Jifunze kusamehe, naku give up kwenye chochote kinachokuumiza sababu mwisho wake huwa ni mbaya.
Jua tumeumbwa tofauti, kila mtu ana zawadi yake ya kipekee.
Mmoja anaweza kuwa vizuri kwenye biashara, mwengine ni mwalimu mzuri, mwengine ni daktari mzuri nk
Usitake kujifananisha au kuwa mshindani bila sababu za msingi.
Jitafakari upo vizuri kwenye kitu gani, sikiliza sauti yako ya ndani amini jambo lako pambana nalo na utafanikiwa. Usipofanikiwa rudi nyuma angalia unafeli wapi jaribu tena. Ukitumia njia zako zote na ushauri wote na ukaona bado mambo ni magumu.. Relax... tafuta kitu kingine.
All in all, do not give up but know when to let go.