Wingawinga
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 623
- 1,531
Je, mnakumbuka wakati ule ukitaka kujua saa ngapi, unanyanyua simu yako na kuzungusha number na kusikia sauti ikikujibu "Usikiapo mlio wa tingo, hii ni saa fulani dakila fulani na sekunde fulani"
Wangapi wanakumbuka hiyo? Je, mnakumbuka pia kwa kingereza ilivyokua ikisema nisaidieni? Nadhani ilikua inaanza hivi "At the beep ......"
Wangapi wanakumbuka hiyo? Je, mnakumbuka pia kwa kingereza ilivyokua ikisema nisaidieni? Nadhani ilikua inaanza hivi "At the beep ......"