Usikiapo mlio wa Tindo

Usikiapo mlio wa Tindo

Wingawinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
623
Reaction score
1,531
Je, mnakumbuka wakati ule ukitaka kujua saa ngapi, unanyanyua simu yako na kuzungusha number na kusikia sauti ikikujibu "Usikiapo mlio wa tingo, hii ni saa fulani dakila fulani na sekunde fulani"

Wangapi wanakumbuka hiyo? Je, mnakumbuka pia kwa kingereza ilivyokua ikisema nisaidieni? Nadhani ilikua inaanza hivi "At the beep ......"
 
Long time, umenikumbusha mbali! Kiingeex ilikuwa : Ask the time, the time will be ......then inakuja mlio wa kengere
 
Long time, umenikumbusha mbali! Kiingeex ilikuwa : Ask the time, the time will be ......then inakuja mlio wa kengere
Asante sana , kwa sizungu nilishinda jua ilikua "Ask the Time"
 
Huu uzi ni wakishua ...mimi bibi alichimba shimo pembeni ya bati anakwambia jua likifika hapa kaoge nenda shule usipime kipindi kisiko na jua unajiwahisha zako tu maana hata radio ilikua inapiga mzikii tu saa utaisikia ifikapo saa kamili...
 
Hatari sana hahahhaaaha
 
Back
Top Bottom