Usikose kipindi cha Reli na Matukio kujua mambo mengi, leo Aprili 24, 2025 (Saa 3:30 Usiku)

Bei ya vyakula ndani ya Treni zenu imekuwa ni kubwa mno.
Ndio manaa tunapanda na mahotpot ya ugali na kisamvu.

Punguzeni bei kule Buffet area.
 
Hicho beba tuu mahotipoti hadi kichache!
Ndio maana napenda kukaa siti moja na Waha.
Muha anaweza kubeba ugali, kisamvu, samaki, mlenda, dagaa, nyama za kukaanga na maji kwenye dumu la lita 5 ukifika ufikako ushashiba.

Tanzania Railways Corp muwashukuru Waha kwa kutulisha sie wengine kwenye treni.
Na kwenye hiko kipindi chenu hapo saa 3:30 usiku msikose kuwashukuru Waha kwa ukarimu wao kwa wateja wenu.

Punguzeni bei kule Buffet area.
 
TRC oyee.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…