abdulrahman Said
JF-Expert Member
- Sep 11, 2019
- 719
- 952
Hakuna kitu kama hiko, astrology ni imani tu za watuna hakuna ukweli wowoteItahitaji muda kunielewa
Ila hebu jaribu kupitia pitia Mambo ya Astrology
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu kama hiko, astrology ni imani tu za watuna hakuna ukweli wowoteItahitaji muda kunielewa
Ila hebu jaribu kupitia pitia Mambo ya Astrology
Eti astrology ni Imani!Hakuna kitu kama hiko, astrology ni imani tu za watuna hakuna ukweli wowote
Waislam wanaingiaje hapa??Eti astrology ni Imani!
Mkuu hiyo ni taalum katika kipande Cha Geography.
Nyie ndo mnafanya waislam waonekane mbumbumbu Shule hamuendi
I am a scientist myself and I'm telling you, Astrology has nothing to do with science.Eti astrology ni Imani!
Mkuu hiyo ni taalum katika kipande Cha Geography.
Nyie ndo mnafanya waislam waonekane mbumbumbu Shule hamuendi
Soma vizuri kwenye picha yako uliyotuma chini halafu katafute maana ya Pseudo-scienceEti astrology ni Imani!
Mkuu hiyo ni taalum katika kipande Cha Geography.
Nyie ndo mnafanya waislam waonekane mbumbumbu Shule hamuendi
Wamama wafuasi wa mwamposa wangepiga kelele kuwa ndo mwisho wa dunia 😂Wengine wanafikiria sayari itaonekana kwa ukubwa wa mwezi 😀😀😀
Zinamuonekano km nyota tu ila zinaukubwa kidogo mara nyingi usiku mwezi unapoangaza huwa unaonekana sambamba ukiwa karibu na sayari moja au mbili
Kuona umeona ila hujazijua kwa sababu zinakuwa kwenye muonekano wa nyota, so n kama vile hakuna jipya.Hicho kitu nimepoteza muda wangu usiku wote, sijakiona.
😆😆😆Kuona umeona ila hujazijua kwa sababu zinakuwa kwenye muonekano wa nyota, so n kama vile hakuna jipya.