Usikose tukio hili la angani tarehe 25 Januari 2025!

Usikose tukio hili la angani tarehe 25 Januari 2025!

Hakuna kitu kama hiko, astrology ni imani tu za watuna hakuna ukweli wowote
Eti astrology ni Imani!
Mkuu hiyo ni taalum katika kipande Cha Geography.
Nyie ndo mnafanya waislam waonekane mbumbumbu Shule hamuendi
 

Attachments

  • IMG_20250126_093241.jpg
    IMG_20250126_093241.jpg
    147.5 KB · Views: 4
Eti astrology ni Imani!
Mkuu hiyo ni taalum katika kipande Cha Geography.
Nyie ndo mnafanya waislam waonekane mbumbumbu Shule hamuendi
Waislam wanaingiaje hapa??
Astrology sio science, kwenye science hiyo tunaita pseudo-science (Sayansi ya uongo). Watu wanaifananisha na Sayansi lakini haina uhusiano wowote na Sayansi bali imejengeka kupitia imani za watu. Kwasababu umegusia kwenye Uislamu nitakuelekeza pia
Abu Daawuud katika Sunan yake pamoja na isnad sahih kutoka kwa Ibn Abbas (radhi za Allah ziwe juu yake), kwamba Mtume wa Mwenyezi Mungu (SAW) amesema: “Mwenye kujifunza kitu chochote cha unajimu (Astrology) amejifunza tawi la uchawi (al-sihr) "
Pia katika Qur-an tukufu [27:65] Al-Naml inasema,
"Sema: Hapana katika mbingu na ardhi ajuaye ya ghaibu (yasioyoonekana) isipokuwa Mwenyezi Mungu"

Usipende kuingiza dini ya Mwenyezi Mungu kwenye vitu ambavyo huna uelewa navyo!
 
Eti astrology ni Imani!
Mkuu hiyo ni taalum katika kipande Cha Geography.
Nyie ndo mnafanya waislam waonekane mbumbumbu Shule hamuendi
I am a scientist myself and I'm telling you, Astrology has nothing to do with science.
 

Attachments

  • Screenshot_20250126-102328.png
    Screenshot_20250126-102328.png
    276.7 KB · Views: 3
Wengine wanafikiria sayari itaonekana kwa ukubwa wa mwezi 😀😀😀

Zinamuonekano km nyota tu ila zinaukubwa kidogo mara nyingi usiku mwezi unapoangaza huwa unaonekana sambamba ukiwa karibu na sayari moja au mbili
Wamama wafuasi wa mwamposa wangepiga kelele kuwa ndo mwisho wa dunia 😂
 
Back
Top Bottom