PreGE2025 Usiku huu Jeshi la Polisi limemleta Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika Makao Makuu ya Chama akiwa salama

PreGE2025 Usiku huu Jeshi la Polisi limemleta Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika Makao Makuu ya Chama akiwa salama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
28,132
Reaction score
64,416
Usiiku huu Jeshi la Polisi limemleta Katibu Mkuu wa Chama Mhe. Makao Makuu ya Chama akiwa salama. Hajaguswa.

Soma Pia: Baada ya Heche, Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika amekamatwa na Polisi

Picha akiteta na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ali Ibrahimu Juma katika ofisi ya Makao Makuu ya Chama.
IMG-20250424-WA0058.jpg
 
Sijui kwanini niliwahi kuwalaani wale wapiganaji wa Kibiti kwa huu muda mfupi wa huyu malkia wa damu (The blood quuen) nimegundua wale walikuwa wakombozi wetu maana waliwanyoosha hawa policcm na vibaraka wao na sio raia wasio na hatia.
 
Usiiku huu Jeshi la Polisi limemleta Katibu Mkuu wa Chama Mhe. Makao Makuu ya Chama akiwa salama. Hajaguswa.

Soma Pia: Baada ya Heche, Katibu Mkuu CHADEMA John Mnyika amekamatwa na Polisi

Picha akiteta na Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Ali Ibrahimu Juma katika ofisi ya Makao Makuu ya Chama.
View attachment 3314466
Mnyika huwa hana shida kutoa ushirikiano na Polisi ndio maana hajabondwa na polisi kama huyo Naibu katibu mkuu wa CHADEMA Zanzibar mwenye bandeji aliyepigwa kipigo cha mbwa koko akaongee kizanzibari kwake akome kuingilia mambo ya bara

Nampongeza kwa kipigo alichopokea naibu Katibu mkuu Zanzibar bara alifuata nini? Akome Hongereni watanganyika polisi wote mliomtembezea kipigo cha mbwa koko huyo mpinga muungano uliopo

Akipinga apinge kwao Zanzibar asije bara atapigwa kipigo cha mbwa mkoko

Akae mbali na Tanganyika
 
Sasa Polisi wame achieve nini kwa utoto waliofanya? Katika picha kubwa serikali imepata faida gani?
Kazi ya polisi ni kutembeza virungu vilivyokaa muda mrefu maghala ya Jeshi

Kipigo walichobonda CHADMA kimewahakikishia virungu vyao viko strong vyaweza tumika kubonda wana Chadema kwenye mabichwa yao wakorofi kwa mafanikio makubwa sana bila kuvunjika wala kupasuka vikitwanga kichwa cha mwana Chadema yeyote asiye tii sheria bila shuruti
 
Back
Top Bottom