PreGE2025 Usiku huu Jeshi la Polisi limemleta Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika Makao Makuu ya Chama akiwa salama

PreGE2025 Usiku huu Jeshi la Polisi limemleta Katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika Makao Makuu ya Chama akiwa salama

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kazi ya polisi ni kutembeza virungu vilivyokaa muda mrefu maghala ya Jeshi

Kipigo walichobonda CHADMA kimewahakikishia virungu vyao viko strong vyaweza tumika kubonda wana Chadema kwenye mabichwa yao wakorofi kwa mafanikio makubwa sana bila kuvunjika wala kupasuka vikitwanga kichwa cha mwana Chadema yeyote asiye tii sheria bila shuruti
Haya bhana. Seems jamaa wana upeo kama wako. Muda ni mwalimu, ngoja tuione siku zijazo mambo yatakavyokuwa yanaenda.
 
Mbowe+mnyika ni kitu kimoja!! Tunzeni hii kuna siku mtaelewa!!. Mnyika ni key prayer wa Mbowe+ccm.
 
Wamemdaka halafu wamemleta akiwa salama
Mnyika huwa sio mkorofi kama Lisu akiona Polisi

Mnyika Hutii sheria bila shuruti kimya kimya tofauti na Lisu .ba Heche ambao hurusharusha mateke hewa na mdomo mayowe kibao ya naonewaaaa!!!
 
Kila nikisoma habari za polisi kuwapiga watu waliokuwa wanaenda Kisutu natamani kufanya mauaji.
 
Back
Top Bottom