Usiku huu kijani na njano wamejikusanya hapa ulongoni b ofisi mpya za ccm kata ya luguluni

Mganguzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2022
Posts
2,311
Reaction score
4,689
Video hii inakuonyesha makumi ya kina mama wakiwa wameacha watoto na waume zao wako kwenye foleni ya mgao wa rushwa angalia video hii sungura anamla sungura !!

Takrima Law😃😃Act no 4 ya mwaka 2000 Sheria ya hovyo kabisa kuwai tokea duniani

Ile ilikuwa baada ya uchaguzi unalud kutoa shukran kwa wananchi kwa kukuchagua
 
10000 ÷ 5 = 2000

2000 ÷ 12 = 166.66

Unaenda kufukuzia shilingi 166.66 umaskini is real.
 
Acha wavune hukumu yao inawangoja wasipotubu
 
Wanahangaika na wanapoteza usingizi na fedha zao bure tu. Uchaguzi mwaka huu haupo mpk reforms zitakapofanyika.
 
Takrima Law😃😃Act no 4 ya mwaka 2000 Sheria ya hovyo kabisa kuwai tokea duniani

Ile ilikuwa baada ya uchaguzi unalud kutoa shukran kwa wananchi kwa kukuchagua
Hawajali chochote wanakulana wao kwa wao acha tu waumizane
 
Takrima Law😃😃Act no 4 ya mwaka 2000 Sheria ya hovyo kabisa kuwai tokea duniani

Ile ilikuwa baada ya uchaguzi unalud kutoa shukran kwa wananchi kwa kukuchagua
Hiyo law inatumika kwa maskini tu
 
Back
Top Bottom