Mganguzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 2,311 Reaction score 4,689 Aug 3, 2025 #1 Video hii inakuonyesha makumi ya kina mama wakiwa wameacha watoto na waume zao wako kwenye foleni ya mgao wa rushwa angalia video hii sungura anamla sungura !! Your browser is not able to display this video.
Video hii inakuonyesha makumi ya kina mama wakiwa wameacha watoto na waume zao wako kwenye foleni ya mgao wa rushwa angalia video hii sungura anamla sungura !! Your browser is not able to display this video.
Selikavu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2017 Posts 15,507 Reaction score 34,689 Aug 3, 2025 #2 Takrima Law😃😃Act no 4 ya mwaka 2000 Sheria ya hovyo kabisa kuwai tokea duniani Ile ilikuwa baada ya uchaguzi unalud kutoa shukran kwa wananchi kwa kukuchagua
Takrima Law😃😃Act no 4 ya mwaka 2000 Sheria ya hovyo kabisa kuwai tokea duniani Ile ilikuwa baada ya uchaguzi unalud kutoa shukran kwa wananchi kwa kukuchagua
GemMaster II JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 3,599 Reaction score 11,307 Aug 3, 2025 #3 10000 ÷ 5 = 2000 2000 ÷ 12 = 166.66 Unaenda kufukuzia shilingi 166.66 umaskini is real.
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 28,058 Reaction score 54,592 Aug 3, 2025 #4 Acha wavune hukumu yao inawangoja wasipotubu
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 27,705 Reaction score 65,343 Aug 3, 2025 #5 Wanahangaika na wanapoteza usingizi na fedha zao bure tu. Uchaguzi mwaka huu haupo mpk reforms zitakapofanyika.
Wanahangaika na wanapoteza usingizi na fedha zao bure tu. Uchaguzi mwaka huu haupo mpk reforms zitakapofanyika.
Mganguzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 2,311 Reaction score 4,689 Aug 4, 2025 Thread starter #6 Selikavu said: Takrima Law😃😃Act no 4 ya mwaka 2000 Sheria ya hovyo kabisa kuwai tokea duniani Ile ilikuwa baada ya uchaguzi unalud kutoa shukran kwa wananchi kwa kukuchagua Click to expand... Hawajali chochote wanakulana wao kwa wao acha tu waumizane
Selikavu said: Takrima Law😃😃Act no 4 ya mwaka 2000 Sheria ya hovyo kabisa kuwai tokea duniani Ile ilikuwa baada ya uchaguzi unalud kutoa shukran kwa wananchi kwa kukuchagua Click to expand... Hawajali chochote wanakulana wao kwa wao acha tu waumizane
Mganguzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 2,311 Reaction score 4,689 Aug 4, 2025 Thread starter #7 Sexless said: Wanahangaika na wanapoteza usingizi na fedha zao bure tu. Uchaguzi mwaka huu haupo mpk reforms zitakapofanyika. Click to expand... Yanataka kutoana roho kabisa
Sexless said: Wanahangaika na wanapoteza usingizi na fedha zao bure tu. Uchaguzi mwaka huu haupo mpk reforms zitakapofanyika. Click to expand... Yanataka kutoana roho kabisa
Mganguzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 2,311 Reaction score 4,689 Aug 4, 2025 Thread starter #8 Iceberg9 said: Acha wavune hukumu yao inawangoja wasipotubu Click to expand... Mungu asaidie huu mwaka mashetani yote yasipite
Iceberg9 said: Acha wavune hukumu yao inawangoja wasipotubu Click to expand... Mungu asaidie huu mwaka mashetani yote yasipite
Mganguzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 2,311 Reaction score 4,689 Aug 4, 2025 Thread starter #9 MAKANGEMBUZI said: 10000 ÷ 5 = 2000 2000 ÷ 12 = 166.66 Unaenda kufukuzia shilingi 166.66 umaskini is real. Click to expand... Hela mdogo sana hii nadhani wanapata zaidi
MAKANGEMBUZI said: 10000 ÷ 5 = 2000 2000 ÷ 12 = 166.66 Unaenda kufukuzia shilingi 166.66 umaskini is real. Click to expand... Hela mdogo sana hii nadhani wanapata zaidi
Mganguzi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2022 Posts 2,311 Reaction score 4,689 Aug 4, 2025 Thread starter #10 Selikavu said: Takrima Law😃😃Act no 4 ya mwaka 2000 Sheria ya hovyo kabisa kuwai tokea duniani Ile ilikuwa baada ya uchaguzi unalud kutoa shukran kwa wananchi kwa kukuchagua Click to expand... Hiyo law inatumika kwa maskini tu
Selikavu said: Takrima Law😃😃Act no 4 ya mwaka 2000 Sheria ya hovyo kabisa kuwai tokea duniani Ile ilikuwa baada ya uchaguzi unalud kutoa shukran kwa wananchi kwa kukuchagua Click to expand... Hiyo law inatumika kwa maskini tu