I LOVE YOU DUCE
Member
- Mar 21, 2024
- 30
- 135
Elewa ndoto Mkuu. Hiyo ni kazi ya ndoto yake ambayo anaona inaenda kukwama kwa ugumu wa maisha katika familia yao.Hafu kua tutor / TA / Lecturer/ Ass. Lect etc hakutasaidia kuondoa hali ngumu ya maisha kwako na kwa familia yako.
Elewa ndoto Mkuu. Hiyo ni kazi ya ndoto yake ambayo anaona inaenda kukwama kwa ugumu wa maisha katika familia yao.
Hayo ni mambo mawili tofauti.
But ana degree tayari anaweza omba TA, kikubwa GPA.Usikate tamaa, mapito ni magumu lakini amini ipo njia katikati ya unayopitia ambayo huwezi kuiona endapo ukikata tamaa.
Ndoto yako ingali hai, endelea kuongeza bidii huku ukitafuta ufadhili.
Usisahau kumuomba Mungu.
Wewe bwege kweli ,watu waache kusaidia masikini wenye mahitaji ya muhimu waje kukusaidia wewe upate masters kisha urudi kuwatambia.Ni semester ya mwisho sasa (6 semester), performance yangu hapa Duce ipo nzuri sana by the way hadi sasa Kwa semester tano za nyuma na average GPA ya 4.3.
Lakini, Sina furaha kabisa kwani ndoto zangu za kusoma Master naona zinayeyuka, my family economic status is too bad. Nashidwa hata ku afford chakula sometimes.
Tamaa na shauku yangu ni endele na masters ni ndoto yangu kuwa university tutor, lakini naona hii ndoto inakwenda kufa.
Wakuu, mtu anae jua process za kupata sponsorship anielekeze.
Maskini Mimi!!
Bachelor of science with education biology and chemistry.
Juu chini kushotoTulia Ishita LA saba tunakomenti wapi by the way pambana