Ushirombo
JF-Expert Member
- Jan 22, 2013
- 3,558
- 2,702
Sio usajili wa maana,ila usajiri wenye akili,pep ni kocha mzuri sana amini hiloNnapokuambia ligi ya uingereza bila usajili wa maana ulikuwa unakataa nn ndo mana nimekwambia kama anajua mwaka jana kabeba nini? Ligi bado ni ngumu
Hahahahaa nipo safarini narudi kwa Yule jamaa aliyegoma kutubu
Karibu jamaa ameacha kusema aombewe