Usiku huu wa Desemba 31 umekukutia wapi?

Usiku huu wa Desemba 31 umekukutia wapi?

Nnapokuambia ligi ya uingereza bila usajili wa maana ulikuwa unakataa nn ndo mana nimekwambia kama anajua mwaka jana kabeba nini? Ligi bado ni ngumu
Sio usajili wa maana,ila usajiri wenye akili,pep ni kocha mzuri sana amini hilo

Hahahahaa nipo safarini narudi kwa Yule jamaa aliyegoma kutubu

Karibu jamaa ameacha kusema aombewe
 
6c93adc317a88ffd30224f0eb2e6bfa5.jpg
 
kama.kuna member wa jf yupo south beach mda huu tuonane pls
 
Nipo hapa Champions Pub Gomz na Totozi za kampala university
 
Niko na mke wangu ndani tunasubir saa sita huko nagonga mviñyo taratibu
 
Back
Top Bottom