Sio usajili wa maana,ila usajiri wenye akili,pep ni kocha mzuri sana amini hiloNnapokuambia ligi ya uingereza bila usajili wa maana ulikuwa unakataa nn ndo mana nimekwambia kama anajua mwaka jana kabeba nini? Ligi bado ni ngumu
Hahahahaa nipo safarini narudi kwa Yule jamaa aliyegoma kutubu
Achana na panya, subili nakujaHahahaaa!!!
ngoja nitafute panya nilale nao loh!!
umenifanya nicheke kwa sauti.
Maiti mwenyewe au sioNipo hapa Champions Pub Gomz na Totozi za kampala university
Heee mkuu nipo zangu nadondosha mipapai tu chooni huko,Maiti mwenyewe au sio
Hàhahàhaà,,,,,,ukiwa huko nje unàwezà kumbwà nà màbalàà mpàkà ukàshangaaNaona unatubu mzee