Bàpa nà koñyagi???!!South Beach Kigambon Karibun sana
Waiter Zungusha Tena Bapa Na Konyagi
Hahaha na kaupepo haka mhuu mnafaidiNipo kichakani nagegeda
Mim Popo Sasa Nipo Huku Mpaka Nilione Jua La Mwaka 2018 La Sivyo SiondokNilikuwa huko mchana
Mtihani mgumu huo lazima ukubali kufeli potelea mbali wewe sio wa kwanza kufeliMimi nipo kwa Shem wangu wa kike mdogo wake wife. Tupo wawili tu ndani tushakula tumejifungia. Nyumba yake ni self mi nalala kwangu naye kwake. Ila wote tumetoka kuoga na mi nina bukta kifua wazi yeye ana suruali uji uji.
Feni lilisumbua kaja kunirekebishia kanigusagusa sana hapa nilipokaa. Sijui tutaupokeaje mwaka ngoja tuone
Sasa si ndio unshauri nifanye lipi bar zipo karibu hapa nadhani niende huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo mkeo ni mcharuko
Ni kweli, naomba tuchati....Wote mliomo hapa muda huu mpo lonely to kama mimi.
Kuhusu niniNi kweli, naomba tuchati....