Usiku huu wa Desemba 31 umekukutia wapi?

Usiku huu wa Desemba 31 umekukutia wapi?

Mimi nipo kwa Shem wangu wa kike mdogo wake wife. Tupo wawili tu ndani tushakula tumejifungia. Nyumba yake ni self mi nalala kwangu naye kwake. Ila wote tumetoka kuoga na mi nina bukta kifua wazi yeye ana suruali uji uji.

Feni lilisumbua kaja kunirekebishia kanigusagusa sana hapa nilipokaa. Sijui tutaupokeaje mwaka ngoja tuone
Mtihani mgumu huo lazima ukubali kufeli potelea mbali wewe sio wa kwanza kufeli
 
Wife anataka kupiga madebe mimi huyu jamaa tunashindana huku nako sasa imekuwa furugu tupu hapa
 
Wife anataka kupiga madebe mimi huyu jamaa tunashindana huku nako sasa imekuwa furugu tupu hapa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huyo mkeo ni mcharuko
 
Wote mliomo hapa muda huu mpo lonely to kama mimi.
 
Back
Top Bottom