Usiku mwema wana MMU!!

Usiku mwema wana MMU!!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,891
Mi nalala nikiukumbatia mto wangu na machungu ya baridi kali katika jiji hili lenye miamba kibao!Hongereni wenye mablanketi ya ukweli,sisi wacha tupambane na ndoto za mahaba ila asubuhi kazi ya kubadili nguo!
 
Unaishi Antarctica nini..
Wasalimie kina Happy Feet
Napenda sauti ya Gloria na ule wimbo
(Somebody to love me) teh teh teh..

Usiku mwema..
Naelekea Madagascar ..

Nite nite 🙂
 
AD asante,nite 2 u 2,wasalimie huko!
 
My brother ya leo kali!!! Umenikumbusha na kunifanya nim'miss Gagurito...

Haya bana sleep tite.
 
Ushakuwa mtu mzima fanya mpango uwe unakumbati mtu badala ya mto.Niko tayari kukuchangia mahari na michango yote ya harusi.Pole dogo.
 
Dada haya,nite 2 u 2,sogeza pua nikubusu lile busu lako la utotoni,mwaaaah!
 
Ushakuwa mtu mzima fanya mpango uwe unakumbati mtu badala ya mto.Niko tayari kukuchangia mahari na michango yote ya harusi.Pole dogo.
MwehhhMto unaraha yake jamani..
 
Unaishi Antarctica nini.. Wasalimie kina Happy Feet Napenda sauti ya Gloria na ule wimbo (Somebody to love me) teh teh teh..Usiku mwema.. Naelekea Madagascar ..Nite nite 🙂
We Afro wewe....mbona unaota huku unaongea?!! Una bahati yako maji ya baridi hakuna ningekumwagia ukome kuota ota!!
 
We Afro wewe....mbona unaota huku unaongea?!! Una bahati yako maji ya baridi hakuna ningekumwagia ukome kuota ota!!
Samahani Kwa kukuamsha..Kuna kile kitanda cha chuma stoooNikupe blanket au shuka hahahahaha lolzUsiku mwema..
 
Gloria rocks banaa, she is so cute! kiboko yake alikuwa yule mchumba wa Gloria. umeona the penguins of the madagascar series?

Unaishi Antarctica nini..
Wasalimie kina Happy Feet
Napenda sauti ya Gloria na ule wimbo
(Somebody to love me) teh teh teh..

Usiku mwema..
Naelekea Madagascar ..

Nite nite 🙂
 
Gnite to ya! Mie nakumbatia m-tedy bear wangu hapa,joto lake wala humfikirii m2 jameni! :-/
 
My brother ya leo kali!!! Umenikumbusha na kunifanya nim'miss Gagurito...Haya bana sleep tite.
kumbe na we bado hujalala!! mmh....angalia usije pitiwa na usingizi ukajikuta unaongea hayo maneno pembeni ya husband maana wengine ndoto zenu adi muongee!! Utakung'untwajeee...!
 
haya Eiyer, asante. ulale ukitafakari suluhisho la tatizo la leo (baridi)😛ound:

Mi nalala nikiukumbatia mto wangu na machungu ya baridi kali katika jiji hili lenye miamba kibao!Hongereni wenye mablanketi ya ukweli,sisi wacha tupambane na ndoto za mahaba ila asubuhi kazi ya kubadili nguo!
 
Gloria rocks banaa, she is so cute! kiboko yake alikuwa yule mchumba wa Gloria. umeona the penguins of the madagascar series?
Hahahaha Penguins of the Madagascar muhimu. Nilimpenda zaidi giraffe ( nadhani ni yuleKijana anae acti kwa jina la Ross kwenye Friends )....Mwanzooni ndo ilikuwa tamu wamefika Madagascar wakadhani wako Antarctica lohhUnicheke napenda sana cartoon looohh..
 
Back
Top Bottom