Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MwehhhMto unaraha yake jamani..Ushakuwa mtu mzima fanya mpango uwe unakumbati mtu badala ya mto.Niko tayari kukuchangia mahari na michango yote ya harusi.Pole dogo.
We Afro wewe....mbona unaota huku unaongea?!! Una bahati yako maji ya baridi hakuna ningekumwagia ukome kuota ota!!Unaishi Antarctica nini.. Wasalimie kina Happy Feet Napenda sauti ya Gloria na ule wimbo (Somebody to love me) teh teh teh..Usiku mwema.. Naelekea Madagascar ..Nite nite 🙂
Samahani Kwa kukuamsha..Kuna kile kitanda cha chuma stoooNikupe blanket au shuka hahahahaha lolzUsiku mwema..We Afro wewe....mbona unaota huku unaongea?!! Una bahati yako maji ya baridi hakuna ningekumwagia ukome kuota ota!!
Tuko pamoja hapo...🙂Umeonaeee!
Unaishi Antarctica nini..
Wasalimie kina Happy Feet
Napenda sauti ya Gloria na ule wimbo
(Somebody to love me) teh teh teh..
Usiku mwema..
Naelekea Madagascar ..
Nite nite 🙂
kumbe na we bado hujalala!! mmh....angalia usije pitiwa na usingizi ukajikuta unaongea hayo maneno pembeni ya husband maana wengine ndoto zenu adi muongee!! Utakung'untwajeee...!My brother ya leo kali!!! Umenikumbusha na kunifanya nim'miss Gagurito...Haya bana sleep tite.
Mi nalala nikiukumbatia mto wangu na machungu ya baridi kali katika jiji hili lenye miamba kibao!Hongereni wenye mablanketi ya ukweli,sisi wacha tupambane na ndoto za mahaba ila asubuhi kazi ya kubadili nguo!
Nakusamehe leo tu kesho unahama chumba. Haya ucku mwema!Samahani Kwa kukuamsha..Kuna kile kitanda cha chuma stoooNikupe blanket au shuka hahahahaha lolzUsiku mwema..
Hahahaha Penguins of the Madagascar muhimu. Nilimpenda zaidi giraffe ( nadhani ni yuleKijana anae acti kwa jina la Ross kwenye Friends )....Mwanzooni ndo ilikuwa tamu wamefika Madagascar wakadhani wako Antarctica lohhUnicheke napenda sana cartoon looohh..Gloria rocks banaa, she is so cute! kiboko yake alikuwa yule mchumba wa Gloria. umeona the penguins of the madagascar series?
Shuuuuuu Usiisemeee kwa nguvuuNanate 🙂Nakusamehe leo tu kesho unahama chumba. Haya ucku mwema!
hahahahaaa.... Na wewe ulale ukiniota kuwa nimekutakia usiku mwema!haya Eiyer, asante. ulale ukitafakari suluhisho la tatizo la leo (baridi)😛ound: