Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I'll be waiting for good morning text too😅Maana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊
Tunaolala,basi na tulale salama.
Kazi njema wana JF
Usiku mwema wanaJF!🙏
Natumaini umeamka salama, iwe asubuhi njema yenye kila aina za baraka kwako, mapambano mema.Maana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊
Tunaolala,basi na tulale salama.
Kazi njema wana JF
Usiku mwema wanaJF!🙏
How is your morning my cute?
Sana, mpambano wa kuamshana saa7 una ladha ya kipekee🤪🤣🤣🤣 Wee,sema kweli 🤭
Mambo ya kupendana we yaweke pembeni kwanza. Kuna nyakati ndoa zetu zinaenda vile Mungu anajua😅🤣🤭Raha kuoa mke akupendae
Kabisa mkuu, maisha yanaenda...🤣🤣🤣 Lakini maisha yanaendelea mkuu 👊
Mbona kama unatusema wakina sisi wazee wa mikesha🤭🤭🤭Maana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊