Usiku mwema wapendwa/Kazi njema wapendwa

Usiku mwema wapendwa/Kazi njema wapendwa

Maana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊

Tunaolala,basi na tulale salama.

Kazi njema wana JF
Usiku mwema wanaJF!🙏
Baba yako mzazi aliye Mungu Baba wako akulinde
 
Back
Top Bottom