ikilo kijege kanunu😅Karibu sana mkuu.Usiku mwema
Mbona wee hunitakiagi mwema mie mwenzio jamanimzabzab najua upo kuuguza pangusa....hulali Leo Kaz njema🤭
Baba yako mzazi aliye Mungu Baba wako akulindeMaana Kuna wengine muda huu saa 6 usiku ndo muda wao wa mapambano..kunakucha yaan👊
Tunaolala,basi na tulale salama.
Kazi njema wana JF
Usiku mwema wanaJF!🙏
KabisaKuna watu muda huu kwao ni usiku mkuu...