Usiku mwema

[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwe ndiyo naiona leo,, asante na usiku mwema kwako CONTROLA

Sent using Jamii Forums mobile app
Ntakuchapa next time 🤭

poleee ila usjali ndio Ilivyo huwa

ukitumia simu si Tag zote utaziona kwakweli

Ila all in all finally Umeiona na lengo langu limetimia🤭

Usiku mwema Karma
 
Hivi unatuambiaga tukumbuke kusali,wewe unakumbukaga au ndio hujapata wakuku kumbusha SweetieLee ??

kama hujapata na husaligi leo naomba nikukumbushe kusali sawa dada,Haya usiku mwema ulale uote ndoto nzuri nzuri.
 
CONTROLA,
Kiukweli sitaki kuwa mnafki nakumbushaga sana watu ila mimi mwenyewe najikuta napitiwa sometimes,
Shukrani sana mdogo wangu, Barikiwa mno kwa kunikumbusha, Leo siwezi sahau maana najua hii imetoka from a very pure heart.!
you're appreciated here lil bro!
 
JamiiForums macho yangu yamekua mazito

naomba kuwaacha kwa masaa haya machache

Tukutane kesho Mungu akitupa uzima.

Baba Swalehe usiku mwema we jamaa

Kawe Alumni usiku mwema asee

ahter asante kwa zawadi nzuri na uwe na usiku mwema kwako Mungu azidi kukufanikisha na kuona juhudi zako katika kila unachojaribu na kutumia Muda wako kukifanya,Ntakuombea sana uweze kufika pale unapotamani kufika.

mkwepu jr we jamaa bana,ila poa tu Usiku mwema.

hearly eheee we mtu usiku mwema napendaga sana hako ka picha kwenye ID yako.

Makiseo usiku mwema,ka picha kwenye ID yako ka upoleee ebu na wewe uwe hvyo basiiii☺

cutelove sikuelewagi sema sawa tu ntakuelewa hivyo hivyo,usiku mwema bibie/bikaka mi sikuelewi bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…