Asante dear nawe pia 😍
Usiku mwema Karma
😅😅😅😅, watoto sio lazima usiku, hata mchana.Pole mdada usilale mapema. Utakosa watoto
😅😅😅, sina hakika na hilo.Wa mchana wanatoka hamna akili..Usiku wa maneno ndio member za smart peoples hutungwa
Shukrani bro.Pole. Soma Saikolojia..utapata mwanga.
Ukweli ndo huo