Usiku mwema

Usiku mwema

Msionipenda leo,siandiki Mengi ila mkiamka kesho mtaelewa.
 
mnaoamka saa hizi nawasalimia tu

napenda kuwaaga tu usiku mwema
 
usiku mwema Jael

nimekutafuta sana ni jana ndio

nimegundua wewe ni mama mafurushi

nimesakaranya sana ile ID ya zamani acha tu

muwe mnatoa taarifa mnapobadili ID jmn.
 
Usiku mwema karena yani wewe,ila poa TU

uko busy sana si eti,utakuja tu nakwambia sungura wewe.
 
Arif usiku mwema Sakayo

wale watu wakutuongelesha kama wanatubembeleza

ili watuchote leo kwenye maombi nitawasogeza madhabahuni

nitawakanyagisha mafuta wote shenzi wale,wametuzoea sana imetosha.
 
Back
Top Bottom