Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vizuri kabisa mdogo wangu..!!ntasahau vyote ila sio kusali dada SweetieLee
Usiku mwema mtoto sweetieVizuri kabisa mdogo wangu..!!
Na Mungu azidi kukubariki katika hili,
Ahsante sana. Ana umri gani?Endelea kutunza huo upendo, nitakupa binti yangu umuoe.
Ana akili kama wewe, mtaendana.
3yrs.😊😊Ahsante sana. Ana umri gani?
Huuuu.. adi afike unri wa kuolewa nitakua mbabu..3yrs.😊😊
Mwanamke anakuwa haraka haraka wewe msubirie.Huuuu.. adi afike unri wa kuolewa nitakua mbabu..
Haina shida. Tatizo je ataweza kuvumilia shida? Mwenyewe nimeshindwa kujivumilia na kujimudu 🙈🙈Mwanamke anakuwa haraka haraka wewe msubirie.
Shida za ugumu wa maisha? Au utukutu?Haina shida. Tatizo je ataweza kuvumilia shida? Mwenyewe nimeshindwa kujivumilia na kujimudu 🙈🙈
Vers sio mtukutu. Maisha niliyonayo atataweza?Shida za ugumu wa maisha? Au utukutu?
Ataweza hata usijali.Vers sio mtukutu. Maisha niliyonayo atataweza?
Itakua bahati yangu. Nitafurah sanaAtaweza hata usijali.
Sawa Mkwe.Itakua bahati yangu. Nitafurah sana
Ahsante ma'mkwe kijanaSawa Mkwe.