Usiku najikuta nikikesha asubuhi ndio nalala naamka saa 5 ndio life style yangu ya sasa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kama kula kulala uwahi kuamka uende wapi? We mwambie dada aongeze bidii kwenye mauno tu asije akaachwa ukarudishwa kwenu

mkuu unamaneno makali sana 🙂 😀
 
Tafuta biashara itakayo kusogeza hadi mida ya Tano usiku..
Laifu litaendelea jwa uwezo wa Mungu..
 
Anza kusoma vitabu vya ziada ili unufaike na hilo tatizo la kukosa usingizi.
 
utajutia huo muda unaolala kizombi zombi
 
point
 
inategemeana na kazi unayofanya mzee mkubwa kwa maana watanzania wengi tumezoea kuamka mapema na kwenda kuafnya kazi dunia inabadilika...lakini usizooe hiyo dabia utaumwa ugonjwa unaitwa sonona jitahid hat akama huna cha kufanya panda kitandani mapema usingizi utakuja tuu an utazoea
 
Kumbe tupo wengi eeh
Kuna kipindi huwa nakesha usiku wote kwa kuangalia movie tu, then asubuhi kwenye saa 1 moja au 1 na nusu ndio huwa nalala. Hapo tena kuamka ni kwenye saa 6, 6 na nusu au saba [emoji15][emoji15][emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…