Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Maisha yangu ya siku hizi yamejaa vituko
Usiku najikutaga macho mpk saa 9 huko ikifika asubuhi ndo usingizi unanikamata kisawa sawa nakuja kuamka huko saa 4 au saa 5 nakunywa chai naenda kwenye mishe zangu....
Au kama ni siku ambayo sina mishe kama jmos huwa ni kulala tu unaamka saa 5 unakunywa chai saa 8 unalala tena siku hiyo unakua huna la maana la kufanya au pakwenda huna hata hela inabidi ulale tu
Ndo maisha yalivyokua
Naish mwenyewe nimepanga
Usingizi wa usiku mapema ni bora zaidi kiafya, na wa alfajiri si bora kiafya, unaweza kusearch kwa faida zaidi, sorry, niko busy sikuweza kukutaftia link.Usiku na mchana ni matokeo ya dunia kuzunguka jua, haina uhusiano na usingizi wako. Jambo la msingi ni kuwa na muda wa kupumzika na muda wa kutafuta kipato, iwapo usiku unafanya online freelancing kwa shughuli za ughaibuni ambazo zinalipwa in terms of $, just keep on meen hakuna ubaya ila kama unachat tu usiku kucha...utakuwa kwenye msafara wa umasikini.
Kama sijakosea wewe bado kijana mdogo,majukumu bado kivile. Enjoy your youth,kwa sababu kuna wakati ukifika mchaka mchaka wake siyo wa kitoto. Inafikia muda hadi unaona waliokufa wamepumzika.Maisha yangu ya siku hizi yamejaa vituko
Usiku najikutaga macho mpk saa 9 huko ikifika asubuhi ndo usingizi unanikamata kisawa sawa nakuja kuamka huko saa 4 au saa 5 nakunywa chai naenda kwenye mishe zangu....
Au kama ni siku ambayo sina mishe kama jmos huwa ni kulala tu unaamka saa 5 unakunywa chai saa 8 unalala tena siku hiyo unakua huna la maana la kufanya au pakwenda huna hata hela inabidi ulale tu
Ndo maisha yalivyokua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Sasa kama kula kulala uwahi kuamka uende wapi? We mwambie dada aongeze bidii kwenye mauno tu asije akaachwa ukarudishwa kwenu
Ni kifo kizuri kuliko vyote kwa mtazamo wangu.Acha uzembe...uzezeta unaanzaga hivyo hivyo Ukijiona tu unaanza dondosha mate UJUE tayari.
Changamka ebu..utafia usingizini shauri ako.