Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Huo uvivu umekumba vijana wengi hasa wa Dar es salaam,unakuta mtu anaenda kwenye mishe mishe saa 5 ama sita,halafu saa mbili yupo nyumbani na kukesha kuimba vyuma vimekaza
Maisha yangu ya siku hizi yamejaa vituko
Usiku najikutaga macho mpk saa 9 huko ikifika asubuhi ndo usingizi unanikamata kisawa sawa nakuja kuamka huko saa 4 au saa 5 nakunywa chai naenda kwenye mishe zangu....
Au kama ni siku ambayo sina mishe kama jmos huwa ni kulala tu unaamka saa 5 unakunywa chai saa 8 unalala tena siku hiyo unakua huna la maana la kufanya au pakwenda huna hata hela inabidi ulale tu
Ndo maisha yalivyokua