jaman saa ngapi hii
Diamond platnumz on stage now anatumbuiza nana
Artist of the year mshindi ni diamond platnumz
Best female east africa mshindi ni vanessa mdee
Hahahahahhaha huu uzi umenifurahisha. Kama namuona mtoa uzi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ahujumiwe kwa lipi???