Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

Diamond platnumz ameshashinda vipengele 4 sor far kati ya 7 alioteuliwa bado vipengele 3, lets see
 
Hahahahahhaha huu uzi umenifurahisha. Kama namuona mtoa uzi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Wakuu imeniuma sana, hivi hawa majaji wana akili kweli? How comes kura nyingi apate Kiba alafu tuzo apewe mtu mwingine? Hizi hujuma hazikubaliki hata kidogo, nina mashaka na wakina bab Tale na Salim huenda kuna mchezo mchafu wamefanya ili Kiba akose tuzo.

Mziki ni ujinga bora nikakomae na UKAWA yangu.
 
Video of the year mshindi ni Wizkid na nyimbo ya ojuolegba
 
Hahahaaaaaa mtoa uzi kanyooshwaaaaaaaa chuki zitawapasuaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mtaumwa na msipate dawaaaaa hahahahahaaaaaaaa go go diamond GGD
 
Hahahaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!tatizo nyotaaaa
 
Hahahahahhaha huu uzi umenifurahisha. Kama namuona mtoa uzi😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Aliambia abakishe maneno akajidai mzoefu wa kutapika, leo atayalamba mataposhi yake mwenyewe
 
Back
Top Bottom